VIONGOZI WA AFRIKA -DENIS MPAGAZE

Sh5,000

Wahenga waliposema , “Vijana wanambio, wazee wanajua njia,” nilijiuliza kama wazee wanajua njia mbona wameipoteza Afrika? Maana Afrika inaviongozi wengi wazee. Baada ya tafakuri ya kina nikabaini unapokuwa kiongozi Afrika lazima uchague kufa au kuua! Ukichagua kufa basi pambana na wezi wa rasilimali za nchi yako kwa manufaa ya watu wako. Hapo utatiwa msukosuko mpaka utajuta kuwa Rais na ukiendelea kukaza lazima ufe! Mifano iko mingi!

Lakini pia ukichagua kuua basi shirikiana na wezi wa rasilimali za nchi yako kwa manufaa yao! Hapa utakuwa umeshiriki kuua watu wako. Wewe utaishi kama malaika. Watakutunza kama yai, ukikohoa tu check up NewYork, matibabu London lakini ukifa mazishi Afrika. Hicho ndo kitendawili cha Afrika. Nani wa kukitegua?

Category:

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “VIONGOZI WA AFRIKA -DENIS MPAGAZE”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

General Inquiries

There are no inquiries yet.