MIAMBA YA AFRIKA -DENIS MPAGAZE

Sh5,000

Unapoambiwa Afrika ni Bara la Giza usikubali kizembe na kujiona mnyonge. Afrika haikuwa Bara la Giza. Kama watu wenye akili kubwa kuliko watu wote duniani walitoka Afrika tunakuaje Bara la Giza?

Kama mabingwa wa teknolojia za tiba, kilimo, ujenzi na jeshi walitoka Afrika, hapo ugiza wetu uko wapi?

Kama tajiri wa kwanza duniani alitoka Afrika na mpaka leo hakuna aliyevunja rekodi hiyo unakubali vipi wewe ni Bara za Giza?

Kukubali kila propaganda inayotukuza unyonge wako ni kuhujumu uwezo wako wa kufikiri.

Afrika tulikuwa juu isipokuwa ukarimu wetu ulituponza. Tulikaribisha mgeni ndani ya nyumba tukalala bila kufunga milango, wakatuibia kila kitu.

Sikiliza. Tuliibiwa mali lakini akili walituachia. Tunazo. Tuzitumie tu kuvunja rekodi waliovunja hawa miamba naowazungumzia katika kitabu hiki. Karibu ukisome halafu uwaenzi kwa kadili uwezavyo.

Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MIAMBA YA AFRIKA -DENIS MPAGAZE”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

General Inquiries

There are no inquiries yet.