UKOMBOZI WA FIKRA ZA MWAFRIKA -DENIS MPAGAZE

(3 customer reviews)

Sh5,000

Hili janga la uvivu wa kufikiri linaloitafuna Afrika usidhani lilitokea kwa bahati mbaya. Ni mpango mahususi ulioandaliwa na Mzungu kuhakikisha mwafrika haishi kwa akili bali kwa nguvu na imani ndiyo maana hadi leo kil kitu Mwafrika anamuachia Mungu. Moja ya njia iliyotumika kufanikisha hilo ilikuwa bakora. Soma Hotuba ya Willie Lynch ya mwaka 1712, inaitwa “Making a Slave,” uone walivyowekeza katika kudumaza akili ya mtu kama tunavyofanya katika mifumo yetu ya elimu Tanzania.

Aliyejifanya kuhoji ushenzi wa mkoloni alikula bakora mbele ya mke na watoto wake ili aonekane si lolote mbele ya Mzungu. Kama unavyojua tena mtoto akiona baba unapigwa anaweza asikuite baba tena. Hii ndo sababu hadi leo tunamtukuza Mzungu kupita maelezo. Angalia waswahili wengi wakikutana na wazungu na vingereza vyao vya kuungauunga, full kuchekacheka na kuponda serikali zao badala ya kujenga hoja za kueleweka!

Category:

3 reviews for UKOMBOZI WA FIKRA ZA MWAFRIKA -DENIS MPAGAZE

  1. Daniel M.

    Very good book packed with a life changing message 👍👍👍

  2. Bigilimana John

    I need all the books ,IAM in kigoma-Tanzania

  3. LMANIKA

    Very interesting and important.

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

General Inquiries

There are no inquiries yet.